1 Piga *150*00#
2 Chagua 6 'Huduma za kifedha'
3 Chagua 2 'Mpesa kwenda Benki'
4 Chagua 1 'Kwenda CRDB'
5 Chagua 2 'Weka Control Number'
6 Ingiza namba yako ya Kielektroniki
7 Weka Kiasi
8 Weka namba yako ya siri
9 Chagua 1 'Kubali'
1 Piga *150*01#
2 Chagua 4 'Lipa Bili'
3 Chagua 3 'Ingiza Namba ya kampuni'
4 Namba ya Kampuni ni 900600
6 Weka Kumbukumbu Namba [Namba yako ya kielektroniki ]
8 Weka Namba ya Siri
1 Piga *150*60#
2 Chagua 1 'Tuma Pesa'
3 Chagua 4 'Tuma Kwenda Benki'
4 Chagua 2 'CRDB'
4 Chagua 2 'Lipa kwa Namba ya Malipo'
4 Ingiza namba ya Kumbukumbu
5 Weka namba yako ya kielektroniki
6 Weka kiasi cha Pesa
7 Weka neno la siri
1 Malipo
2 Malipo Zaidi
3 CCM Payment
4 Ingiza Namba ya Malipo
5 Pata Taarifa
6 Weka Kiasi
7 Endelea
8 Thibitisha