Jinsi ya kulipia ada za uwanachama

T-PESA

 • 1 Piga *150*71#

 • 2 Chagua 5 'Huduma za kifedha'

 • 3 Chagua 1 'TTCL Kwenda Benki'

 • 4 Chagua 2 'Orodha ya Benki'

 • 5 Chagua 2 'CRDB'

 • 6 Ingiza namba ya malipo
        Mfano: C0000000102301

 • 7 Weka kiasi

 • 8 Weka namba ya siri

Mpesa

 • 1 Piga *150*00#

 • 2 Chagua 6 'Huduma za kifedha'

 • 3 Chagua 2 'Mpesa kwenda Benki'

 • 4 Chagua 1 'Kwenda CRDB'

 • 5 Chagua 2 'Weka Control Number'

 • 6 Ingiza namba yako ya Kielektroniki
        Mfano: C0000000102301

 • 7 Weka Kiasi

 • 8 Weka namba yako ya siri

 • 9 Chagua 1 'Kubali'

Tigo Pesa

 • 1 Piga *150*01#

 • 2 Chagua 4 'Lipa Bili'

 • 3 Chagua 3 'Ingiza Namba ya kampuni'

 • 4 Namba ya Kampuni ni 900600

 • 6 Weka Kumbukumbu Namba [Namba yako ya kielektroniki
        Mfano: C0000000102301 ]

 • 7 Weka Kiasi

 • 8 Weka Namba ya Siri

 • 9 Chagua 1 'Kubali'

Airtel Money

 • 1 Piga *150*60#

 • 2 Chagua 1 'Tuma Pesa'

 • 3 Chagua 4 'Tuma Kwenda Benki'

 • 4 Chagua 2 'CRDB'

 • 4 Chagua 2 'Lipa kwa Namba ya Malipo'

 • 4 Ingiza namba ya Kumbukumbu

 • 5 Weka namba yako ya kielektroniki
        Mfano: C0000000102301

 • 6 Weka kiasi cha Pesa

 • 7 Weka neno la siri

CRDB Bank (SimBanking)

 • 1 Malipo

 • 2 Malipo Zaidi

 • 3 CCM Payment

 • 4 Ingiza Namba ya Malipo
        Mfano: C0000000102301

 • 5 Pata Taarifa

 • 6 Weka Kiasi

 • 7 Endelea

 • 8 Thibitisha

2024 © CCM.
TEHAMA HQ